KAMATI
ya Kusimamia Tuzo za Wanamichezo Bora Tanzania zinazotolewa na Chama cha
Waandishi wa Habari za Michezo Tanzania (TASWA) imetangaza Majina ya
Wanamichezo watakaogombea Tuzo hizo kwenye hafla maalum hapo Desemba 12.
Usiku
wa Tuzo utafanyika Ukumbi wa Diamond, Jubilee (VIP), Jijini Dar es Salaam.
Majina
hayo ya Wagombea ni mapendekezo ya Vyama vya Michezo husika kupitia Kamati zao
za Ufundi.
Washindi
wa Tuzo kutoka Michezo mbalimbali ndio watakaoingizwa kuwania Tuzo ya
Mwanamichezo Bora wa Tanzania wa Mwaka 2013/2014 na Mshindi atatangazwa Siku
hiyo hiyo Desemba 12.
Pia
itakuwepo Tuzo maalum ya Heshima ya kumtambua Mwanamichezo alietoa mchango
maalum.
ORODHA
KAMILI YA WAGOMBEA:
OLIMPIKI
MAALUM:
Wanaume:
Raphael
Kalukula, Pazi Mwinyimkuu na Hatibu Matali
Wanawake:
Blandina
Blasi, Shida Jaha na Mwanaharusi Risasi.
MPIRA
WA KIKAPU:
Wanaume:
Lusajo
Samwel (Oilers), Erick Mchemba (ABC)
wanawake:
Sajda
Ahmed Lyamaiga(Don Bosco Lioness), Rehema Silomba (Don Bosco Lioness) na Orlyn
Titus (Don Bosco Lioness).
MPIRA
WA MAGONGO:
Wanaume:
Yohana
Wilson, Focus Paul, Deep Vaja
Wanawake:
Valentina
Quarantta, Kidawa Seremala na Mary Mhina
MPIRA
WA WAVU:
Wanawake:
Yasinta
Remmy (Jeshi Stars), Hellena Richard (Magereza) na Teddy Abwao (Jeshi
Stars).
Wanaume:
Kelvin
Peter Severino (Magereza), Nassoro Sharifu (Jeshi Stars) na Athuman Rupia
(Jeshi Stars).
RIADHA:
Wanawake:
Zakia
Mrisho, Jaqueline Sakilu na Catherine Lange
Wanaume:
Alphonce
Felix, Dickson Marwa na Fabian Nelson.
BAISKELI:
Wanawake:
Salome
Donald, Martha Anthon na Sophia Adson.
Wanaume:
Richard
Laizer, Hamisi Mskala na Gerald Konda,
GOFU:
Wanaume:
Nuru
Mollel, Abasi Adam na Frank Mwinuka
Wanawake:
Madina
Iddi, Hawa Wanyeche na Angel Eaton
GOFU
YA KULIPWA:
Hassan
Kadio, Yassin Salehe na Geoffrey Leverian
JUDO:
Wanaume:
KOMBO
Masoud Amour, MBAROUK Mbarouk
Sleiman
Wanawake:
Grace
Alfonce Mhanga, Salma Omari Othman.
TENISI
WALEMAVU:
Wanaume:
Novatus
Emmanuel Temba, Yohana Assa Mwila, Juma Mohamed Hamisi
Wanawake:
Rehema
Selemani Saidi,Bihawa Mustafa Ituji
TENISI:
Wanaume:
Tumaini
Martin, Emmanuel Malya na Omari Sulle
Wanawake:
Rehema
Athumani, Edna John, Georgina Kaindoh
NETIBOLi:
Doritha
Mbunda (JKT Mbweni), Berina Kazinja (Magereza Moro), Andressa Andrea (Magereza
Moro)
NGUMI
ZA RIDHAA:
Fabian
Gaudence, Ahmed Furahisha na Ally Abdul Ahmed
SOKA:
Wanawake:
Sophia
Mwasikili, Sherida Boniface na Amina Ally
Wanaume:
Elias
Maguli (Ruvu Shooting-sasa Simba), Erasto Nyoni (Azam FC) na Nadir Haroub
(Yanga).
WACHEZAJI
WA NJE WANAOCHEZA TANZANIA:
Kipre
Tchetche (Azam), Amis Tambwe (Simba) na Mbuyu Twite (Yanga).
WATANZANIA
WANAOCHEZA NJE:
Richard
Laizer (baiskeli-Afrika Kusini/Uswisi)
Mbwana
Sammata (TP Mazembe-soka DRC), Thomas Ulimwengu (TP Mazembe-soka DRC).
NGUMI
KULIPWA:
Francis
Cheka, Ramadhani Shauri na Said Mbelwa.
MPIRA
WA MIKONO
Wanaume:
Hemedi
Salehe (JKT), Msafiri Makoti (Ngome) na Abinery Kusena (JKT)
Wanawake:
Veronica
Mapunda, Subira Omary na Mwajabu Lugato
WANAMICHEZO
CHIPUKIZI
Omari
Sulle (Tenisi)
Sheridah
Boniface (Soka Wanawake)
Aishi
Manula (Soka Wanaume-Azam)
No comments:
Post a Comment