DROO ya
kupanga Makundi ya AFCON 2015, Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika imefanyika
huko Malabo Nchini Equatorial Guinea.
Wenyeji
Equatorial Guinea wako Kundi A pamoja na Congo-Brazzaville, Gabon na Burkina
Faso na wao ndio watacheza Mechi ya ufunguzi hapo Januari 17 dhidi ya
Congo-Brazzaville.
Mechi ya
Fainali ya Mashindano haya itafanyika hapo Februari 8.
KUNDI
A
Equatorial
Guinea
Congo-Brazzaville
Gabon
Burkina
Faso
KUNDI
B
Zambia
DR Congo
Cape Verde
Tunisia
KUNDI
C
Ghana
Senegal
South
Africa
Algeria
KUNDI
D
Ivory
Coast
Guinea
Cameroon
Mali
No comments:
Post a Comment