Monday, October 21, 2013

SARE YA JANA SIMBA NA YANGA YAZIDI KUIWEKA KILELENI AZAM FC 

Sare ya 3-3 ya wapinzani wa jadi, Yanga na Simba katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam jana, imezidi kuiweka timu ya Azam Fc kileleni mwa ligi hiyo.
Azam FC sasa wako juu katika msimamo wa Ligi wa Kuu ya Vodacom Tanzania Bara, wakiwa na pointi 20 sawa na Mbeya City, lakini wanaongoza kwa wastani mzuri wa mabao. Simba SC yenye pointi 19 ya pili na Yanga SC yenye pointi 16 ya tatu. Hata hivyo, Azam na Mbeya City wote wamecheza mechi moja zaidi.

Rnk

Team
MP
W
D
L
GF
GA
+/-
Pts
1

Azam
10
5
5
0
15
6
9
20
2

Mbeya City
10
5
5
0
13
7
6
20
3

Simba SC
9
5
4
0
20
8
12
19
4

Young Africans
9
4
4
1
18
11
7
16
5

Mtibwa Sugar
10
4
4
2
16
12
4
16
6

Ruvu Shooting
10
4
3
3
12
9
3
15
7

Kagera Sugar
9
4
2
3
10
7
3
14
8

JKT Ruvu
10
4
0
6
9
11
-2
12
9

Coastal Union
9
2
5
2
7
6
1
11
10

Ashanti United
10
2
3
5
10
19
-9
9
11

Rhino Rangers
9
1
4
4
8
12
-4
7
12

Tanzania Prisons
9
1
4
4
5
12
-7
7
13

JKT Oljoro
10
1
3
6
8
16
-8
6
14

Mgambo JKT
10
1
2
7
3
18
-15
5

No comments: