WAOANA BAADA YA KUISHI UCHUMBA MIAKA 80
![]() |
Jose Manuel Riella na mkewe Martina Lopez siku ya harusi |
![]() |
Wakiwa na wageni waalikwa siku ya aharusi |
![]() |
Picha ya pamoja na watoto, wajukuu, vitukuu na vilembwe |
Bwana Jose Manuel Riella mwenye umri wa mika 103 na mkewe Martina
Lopez miaka 99, walianza uhusiano wao tangu mwaka 1933.
Wapenzi hao wameamua kufunga ndoa kanisani huku wakiwa na watoto nane, wajukuu 50,
vitukuu 35,na vilembwe 20 ambao baadhi yao walihudhulia ndoa hiyo.
No comments:
Post a Comment