KOCHA WA ZAMANI WA SENEGAL
BRUNO METSU AFARIKI DUNIA
Kocha wa zamani wa Senegal
Bruno Metsu ambaye aliiongoza nchi hiyo kufika robo fainali ya kombe la dunia
mwaka 2002, amefariki dunia akiwa na miaka 59, vyombo vya habari nchini
Ufaransa vimeripoti leo hii.
Gazeti la Local La Voix du Nord, sports daily L'Equipe na France Football magazine wameripoti kwamba Metsu, ambaye alistaafu kazi ya ukocha akiwa na klabu ya Al Wasl ya Dubai mwaka uliopita ili kupambana na kansa ya utumbo, alifariki dunia usiku wa kuamkia leo nyumbani kwake Dunkirk kaskazini mwa France.
Metsu, ambaye alijulikana kama "The White Sorcerer", pia aliwahi kuifundisha Guinea, Qatar, na klabu kadhaa huko Uarabuni

No comments:
Post a Comment