MADRID YASHINDA UGENINI 1-0 BENZEMA AENDELEA KUNG'ARA
![]() |
Karim Benzema akifumua shuti kumfunga kipa wa Granada, Roberto Fernandez |
![]() |
Karim Benzema akipongezwa na Cristiano Ronaldo baada ya kufunga bao lake la pili la msimu |
MSHAMBULIAJI
anayetakiwa na Arsenal, Karim Benzema ameiongoza timu yake kushinda mechi ya
pili ya La Liga baada ya usiku huu kufunga bao pekee katika ushindi wa Real
Madrid wa 1-0 dhidi ya Granada.
Mfaransa
huyo alimtungua kipa wa wenyeji, Roberto Fernandez dakika ya 10, baada ya
kupata pasi ya Cristiano Ronaldo akiwa kwenye boksi.
Wakati
huo huo, kipa Iker Casillas, nyota mwingine wa Madrid anayetakiwa na kocha wa
Gunners, Arsene Wenger, ameendelea kusota benchi.
No comments:
Post a Comment