BINTI ACHAPWA BAKORA BAADA YA KUKATIZA MTAANI AKIWA AMEVAA NUSU UCHI
![]() |
Binti akiokolewa na raia wemba baada ya kupokea kichapo |
Msichana mmoja ambaye
jina lake halikujulika amejikukuta katika wakati mgumu baada ya kuzomewa
na kuchapwa viboko na kundi la watu katika eneo la soko la nmc jiji
arusha kwa madai ya kuvaa nguo fupi hali iliyowalazimu wasamaria wema kuingilia
kati na kutumia nguvu kubwa ili kumwokoa na kumsitili kwa kumfunika
na nguo zingine.
Watu walio shuhudia tukio hilo wamedai kuchukizwa na aina ya nguo alizizovaa msichana huyo ambazo haziendani na maadili ya Kitanzania, ndiyo maana waliamua kumwadabisha ili kukomesha tabia hiyo.
Watu walio shuhudia tukio hilo wamedai kuchukizwa na aina ya nguo alizizovaa msichana huyo ambazo haziendani na maadili ya Kitanzania, ndiyo maana waliamua kumwadabisha ili kukomesha tabia hiyo.
Kwa upande wao
wanawake walio msitili msichana huyo kwa kumpa nguo za heshima na kumhifadhi
katika Gareji ya jirani kabla ya kumkimbiza kwa gari aina ya Toyota Hiace
wamesema hawaridhishwi na tabia hiyo inayowazalilisha wanawake na kuwataka
wasichana kuavaa nguo za kujisitili ili kujenga heshima katika jamii.
No comments:
Post a Comment