Tuesday, July 30, 2013

NAMSHUKURU MUNGU KUFIKISHA MIAKA MIWILI YA NDOA KWA USALAMA, TAREHE NA MWEZI KAMA WA LEO MWAKA 2011 NILIINGIA RASMI KWENYE TAASISI HII NGUMU NA TAKATIFU YA NDOA.
I love you so much baby
Huyu ndiye mke wangu mtarajiwa anaitwa Regina Steven Ndimbo
Huyu ndiye mume wangu mtarajiwa anaitwa Steven Ndimbo
Kwa raha zetu

Nikiwa na mpambe wangu Gracimo Bambaza
Pete hii iwe ishara ya upendo wetu
Tukiwa Beach
Haiji mara mbili
Mungu naomba ilinde Familia yangu


Mungu mjalie maisha mema yenye maadili mtoto wetu Keren Steven Ndimbo

No comments: