Friday, May 24, 2013

HALI YA SASA MJINI MTWARA WATU WAMEANZA KUINGIA MITAANI LAKINI MADUKA NA SOKO BADO HAVIJAFUNGULIWA KUSUBIRI UTULIVU ZAIDI
Ligula Hospitali Mnarani
Barabara ya mnarani, mkoani kuelekea parish.
Zambia road
Kuelekea stand kuu
Mnarani Mtwara
Wananchi wakiwa katika makundi makundi kituo cha polisi mjini mtwara kwa ajili ya kuwatolea dhamana ndugu zao waliokamatwa katika vurugu za jana na juzi

Stand kuu Mtwara ilivyo leo
Maduka sokoni yakiwa yamefungwa
Soko kuu la chakula likiwa limefungwa huduma inayopatikana ni nyanya tu

No comments: