Saturday, March 9, 2013

TIMU YA NDANDA YA MTWARA YAIFUNDISHA ADABU ASHANTI YA JIJINI DSM KWA KUIDUNGUA BAO
1 - 0 UWANJA WA NANGWANDA SIJAONA MJINI MTWARA
Hatari langoni mwa Ashanti


Mpambano mkali kuelekea lango la Ashanti wenye Orange
Mashabiki wakiengalia mpambano
Nikiawa na Jerry Michael Score mwenye headphone tukifuatila mechi kwa makini
Mratibu wa Ndanda Selemani Kachele mwenye tshirt ya ndanda akifuatilia Mpambano kwa makini

Mashabiki wakipata burudani ya kabumbu

Twaha Mnali mmoja wa viongozi wa Ndanda akifanya vitu vyake

No comments: