Cosmo |
Super Eagle |
Mgeni rasmi akikagua timu |
Heka heka uwanjani |
Mgeni rasmi naibu waziri wa TAMISEMI Kassim Majaliwa akiwa na Mkt wa chama cha soka Mtwara Athuman Kambi wakifuatilia mchezo kwa makini |
Nikolus Muya Mratibu wa ligi ya Jimbo cup akifuatilia mtanange Wadau wa pride FM Radio walikuwepo |
Mbwembwe za mashabiki |
Wachezaji wa Cosmo wakishangilia ushindi wakiwa na mwali |
No comments:
Post a Comment