Wednesday, September 17, 2014


Mahari wilayani Tororo mashariki mwa Uganda yamepigwa marufuku na baraza la wilaya hiyo baada ya kubaini kuwa mahari Inamdhalilisha mwanamke. Utafiti uliofanywa na asasi isiyokuwa ya kiserikali ya MIFUMI, umeonyesha kuwa mume akilipa mahari anamgeuza mwanamke kuwa mtumwa.

No comments: