KAHABA MWENYE MIAKA 85
NCHINI UINGEREZA ASEMA ANA MVUTO KWA WANAUME!
![]() |
Sheila Vogel-Coupe |

Miaka
minne baada ya kifo cha mume wake wa pili , Vogel-Coupe aliingia katika ukahaba
,kutokana na anachosema ni ukiwa anaosema ndio sababu ya kumfanya ajiingize
kwenye biashara hiyo.
Akiwa
na uwezo wa kuwaburudisha wateja angalu 10-kwa wiki , ameweza kukutana na
wateja wengi kuliko unavyoweza kufikiria.
Akizungumza
kuhusu wateja wake wa kiume, alisema : "kuna kitu wanachokiona kwangu. Ni
hisia nzuri. Nafahamu nina mvuto sana."
Akiwa
amevalia sketi fupi (kimini) na viatu vyenye kisigino kirefu, Vogel-Coupe
alijisifu na kujivunia kwamba bado anaweza kutengeneza pesa kutoka chumbani
kwake.
Akielezea
kwa nini ameamua kuifanya kazi hiyo, alisema: " Sababu ya muhimu zaidi ni
kwamba napenda ngono. Hata kuifikiria tu inanifanya nijihisi vizuri''
Kwa
mujibu wa gazeti la Daily Mirror, Sheila atakuwa kwenye makala maalum
yanayoangazia wanawake wakongwe makahaba 'My Granny the Escort'.
Onyesho
hilo litaangazia pia wanawake watatu makahaba walio vikongwe zaidi nchini
Uingereza
No comments:
Post a Comment