TANZANIA
YASHUKA NAFASI 5, IPO 122 LISTI YA UBORA DUNIANI, SPAIN BADO 1
LISTI YA
UBORA DUNIANI YA FIFA iliyotolewa Leo imeonyesha Mabingwa wa Dunia Spain bado
wapo Nambari Wani wakifuatiwa na Germany, ambao wamebakia Namba 2, huku
Tanzania ikiporomoka Nafasi 5 na kushika Nafasi ya 122 wakati Nafasi ya Juu
kabisa kwa Nchi ya Afrika inakamatwa na Ivory Coast ambao wako Nafasi ya
21wakiwa wamepanda Nafasi 3.Wenyeji wa Fainali za Kombe la Dunia Mwaka huu, Brazil, wamepanda Nafasi 3 na sasa wapo Namba 6 pamoja na Argentina walioporomoka Nafasi 3.
Listi nyingine ya Ubora Duniani itatolewa tena na FIFA hapo Tarehe 8 Mei.
20 BORA DUNIANI:
1 Spain
2 Germany
3 Portugal [Wamepanda Nafasi 1]
4 Colombia [Wamepanda Nafasi 1]
5 Uruguay [Wamepanda Nafasi 1]
6 Argentina [Wameshuka Nafasi 3]
6 Brazil [Wamepanda Nafasi 3]
8 Switzerland [Wameshuka Nafasi 1]
9 Italy [Wameshuka Nafasi 1]
10 Greece [Wamepanda Nafasi 3]
11 England [Wamepanda Nafasi 1]
12 Belgium [Wameshuka Nafasi 2]
13 USA [Wamepanda Nafasi 1]
14 Chile [Wamepanda Nafasi 1]
15 Netherlands [Wameshuka Nafasi 4]
16 France [Wamepanda Nafasi 1]
17 Ukraine [Wamepanda Nafasi 1]
18 Russia [Wamepanda Nafasi 1]
19 Mexico [Wamepanda Nafasi 1]
20 Croatia [Wameshuka Nafasi 4]
No comments:
Post a Comment