Tuesday, March 25, 2014

HISTORIA YA TIMU YA NDANDA 

Timu ya Soka ya Ndanda Fc ya Mtwara iliyokuwa inacheza Ligi Daraja la Kwanza Taifa imefanikiwa kupanda daraja ambapo msimu ujao itacheza ligi kuu Tanzania bara.

Mechi ya mwisho iliyowapa tiketi ya kupanda daraja ilikuwa Juma tatu ya tarehe 24/03/2014 pale walipoizamisha Police Dar es salaam kwa jumla ya mabao 2-1.
Mwenyekiti wa ndanda Ahamad Omari hapa anatupa historia ya timu hiyo kule ilikotoka mpaka ilipofikia.



Check this out on Chirbit

No comments: