Sunday, December 15, 2013

SAFARI YA TIMU YA PRIDE FM HUKO KITERE SIKU YA JUMA MOSI
Safari imeanza
Kuchimba dawa muhimu unaposafiri
Ndani ya Mtumbwi bwawa la Kitere
Kambare na Perege wanapatikana humu


 
Big mama na kamabare wake

Shwangwe na nderemo baada ya kutua Kitere
Namanjasi Stadium

Shabiki wa timu  Pride Fm
Afisa michezo mtwara vijijini Nicoraus Muya mwenye nyekundu
Endrew Mtuli kushoto na Hassani Simba kulia wakifuatilia mambo yanavyokwenda namanjasi stadium
Kikosi cha  Pride Fm
Hawa ndio Chai Dume ya chekereni kitere
Mgeni rasmi Afisa michezo Bwana Muya akitoa nasaha kwa timu zote
Kabumbu uwanjani,  refa Mwanya Mkoloma akiwajibika vilivyo
Hadi mwisho Pride Fm 1-1 Chai dume

No comments: