RATIBA YA CHALENJI CUP 2013 YATOKA
CECAFA
CHALENJI CUP, Kombe la kusaka Nchi Bingwa ya Afrika ya Mashariki na Kati,
linaanza huko Nchini Kenya Jumatano Novemba 27 kwa Nchi 12 kushindana.
Nchi
hizo zimegawanywa Makundi matatu ya Nchi 4 kila moja ambapo Washindi wawili wa
kila Kundi watatinga Robo Fainali pamoja na Washindi wa Tatu wawili Bora.
Katika
Nchi hizo 12 zinazoshiriki, 11 ni Wanachama wa CECAFA, Shirikisho la Soka kwa
Nchi za Afrika ya Mashariki na Kati, na moja, Zambia, ni Wageni waalikwa wa
michuano hii ya Mwaka huu.
Bingwa
Mtetezi wa Chalenji Cup ni Uganda ambao walitwaa Kombe Mwaka Jana lilipochezwa
Nchini kwao kwa kuifunga Kenya Bao 2-1 katika Fainali.
Tanzania
itawakilishwa na Timu mbili, yaani Kilimanjaro Stars, ambayo ni Tanzania Bara,
na Zanzibar Heroes, Timu ya Zanzibar.
Kili
Stars wapo Kundi B na wataanza hapo Alhamisi Novemba 28 kwa kucheza na Zambia
wakati Zanzibar wao wanaanza Jumanne Novemba 27 kwa kucheza na South Sudan.
MAKUNDI:
Kundi A
|
KUNDI B
|
KUNDI C
|
-Kenya
-Ethiopia
-Zanzibar
-South Sudan
|
-Tanzania Bara
-Zambia
-Burundi
-Somalia
|
-Uganda
-Rwanda
-Sudan
-Eritrea
|
Timu mbili
za Juu kila Kundi zitasonga Robo Fainali pamoja na Washindi wa Tatu wawili
Bora.
RATIBA:
TAREHE
|
NA
|
MECHI
|
KUNDI
|
UWANJA
|
SAA
|
Jumatano
Novemba 27
|
1
|
Zanzibar v
South Sudan
|
A
|
Nyayo
|
1400
|
2
|
Kenya v
Ethiopia
|
A
|
Nyayo
|
1630
|
|
Alhamisi
Novemba 28
|
3
|
Burundi v
Somalia
|
B
|
Machakos
|
1400
|
4
|
Tanzania
Bara v Zambia
|
B
|
Machakos
|
1600
|
|
Ijumaa
Novemba 29
|
5
|
Sudan v
Eritrea
|
C
|
Machakos
|
1400
|
6
|
Uganda v
Rwanda
|
C
|
Machakos
|
1600
|
|
Jumamosi
Novemba 30
|
7
|
Ethiopia v
Zanzibar
|
A
|
Nyayo
|
1400
|
8
|
South Sudan
v Kenya
|
A
|
Nyayo
|
1600
|
|
Jumapili
Desemba 1
|
9
|
Somalia v
Tanzania
|
B
|
Nyayo
|
1400
|
10
|
Zambia v
Burundi
|
B
|
Nyayo
|
1600
|
|
Jumatatu
Desemba 2
|
11
|
Sudan v
Rwanda
|
C
|
Machakos
|
1400
|
12
|
Eritrea v
Uganda
|
C
|
Machakos
|
1600
|
|
Jumanne
Desemba 3
|
13
|
South Sudan
v Ethiopia
|
A
|
Machakos
|
1400
|
14
|
Kenya v
Zanzibar
|
A
|
Machakos
|
1600
|
|
Jumatano
Desemba 4
|
15
|
Tanzania v
Burundi
|
B
|
Nyayo
|
1400
|
16
|
Somalia v
Zambia
|
B
|
Nyayo
|
1600
|
|
Alhamisi
Desemba 5
|
17
|
Rwanda v
Eritrea
|
C
|
Nyayo
|
1400
|
18
|
Uganda v
Sudan
|
C
|
Nyayo
|
1600
|
|
Ijumaa
Desemba 6
|
MAPUMZIKO
|
||||
ROBO
FAINALI
|
|||||
Jumamosi
Desemba 7
|
19
|
C1 v B2
|
Mombasa
|
BADO
|
|
20
|
A1 v 3 BORA
1
|
Mombasa
|
BADO
|
||
Jumapili
Desemba 8
|
21
|
B1 v 3 BORA
2
|
Mombasa
|
BADO
|
|
22
|
A2 v C2
|
Mombasa
|
BADO
|
||
Jumatatu
Desemba 9
|
MAPUMZIKO
|
||||
Jumanne
Desemba 10
|
NUSU
FAINALI
|
||||
23
|
Mshindi 19
v Mshindi 20
|
BADO
|
|||
24
|
Mshindi 21
v Mshindi 22
|
BADO
|
|||
Jumatano
Desemba 11
|
MAPUMZIKO
|
||||
Alhamisi
Desemba 12
|
25
|
Mshindi wa
Tatu
|
1400
|
||
26
|
FAINALI
|
1600
|
No comments:
Post a Comment