Monday, July 1, 2013

MWANAFUNZI AKUNG'UTWA NA WAZAZI WAKE BAADA YA KUFUMANIWA GUEST HOUSE, DAR

Wazazi wenye uchungu na hasira wakiwa na binti yao mara baada ya fumanizi.
Chumba kilichotumika kwa kwa mwanafunzi huyo, mwenzake kufanyia ufuska
Hii ndio sura halisi ya binti aliyefumaniwa.
Wazazi wakimpiga binti yao kwa uchungu na hasira mara baada ya fumanizi.
Mwanafunzi mmoja amefumaniwa katika nyumba moja ya wageni (guest house) hapo , tarehe 29/6/2013 majira ya saa nane mchana katika eneo la Yombo Vituka jijini Dar es salaam.

Hata hivyo mfumaniwa mwenzake hajakamatwa kwani aliponyoka na kukimbia.
(Picha zote na maelezo yameletwa na Dei Misana)

source: wavuti

No comments: