Sunday, April 7, 2013

HATIMAYE PHILIP MANGULA NA MKEWE YOLANDA KABEREGE WAFUNGA PINGU ZA MAISHA

Askofu wa Kanisa la KKKT Dayosisi ya Kusini Njombe, Isaya Mengele, wakati akifungisha ndoa hiyo aliwataka wanandoa kuishi kwa misingi ya dini kama ilivyoelekezwa kwenye vitabu vya dini.

Msemaji wa familia ya mzee Philip Mangula, DK. Lechion Kimilike (wa kwanza kushoto) ambaye ni Mhadhiri wa chuo kikuu huria cha Tanzania Tawi la Njombe.
Makamu Mwenyekiti wa CCM Tanzania Bara, Philip Mangula na Mkewe Yolanda Kaberege baada ya kufunga pingu za maisha jana.
Hapa ni ndani ya kanisa la KKKT Dayosisi ya Kusini Njombe Mjini ambapo Mangula alifunga ndoa jana
Makamu Mwenyekiti wa CCM Tanzania Bara, Philip Mangula na Mkewe Yolanda Kaberege wakiingia kanisani jana
Mkuu wa wilaya ya Njombe, Bi. Sarah Dumba (kulia) akiwa na Waziri Mkuu Mizengo Pinda (katikati) akifuatiwa na Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Mjumbe wa Halmashauri kuu ya CCM Taifa wilaya ya Njombe, bwana Lupyana Fute ambaye ni diwani wa kata ya Njombe Mjini jana wakati wa Harusi ya Philip Mangula.

(PICHA ZOTE NA  GABRIEL KILAMYA)

No comments: