Thursday, March 7, 2013

 MDAU GRACEMO BAMABAZA



JAMANI MNAKUMBUKA ENZI HIZI?,teh teh teh!,Kwa kweli ilikuwa burudani!,simu za mkononi hatuna,ni mwendo wa barua za Makopa na Mikuki ya Moyo huku mstari wa pambizo ukizingatiwa, lakini siku hizi mmmh! watu wanashusha mashahiri kama wamemeza tepu,tena kila mahali iwe wodini,msibani,harusini au stendi ya daladala!,DAH MAMBO YA ENZI ZILE HAYO!.

No comments: