Wednesday, March 6, 2013

HISTORIA FUPI YA MOHAMED CHUMA
NA MOHAMED BALOZI
MOHAMED BALOZI
Wa kwanza kushoto ndiye marehemu Chuma, hapa Raisi wa Sudani miaka hiyo Nimeir akisalimiana  na Omari Zimbwe. Stars walicheza vifua wazi kutokana na kukosa jezi. Inasemekana Hayati Mwl Nyerere alikuwa mgeni rasmi Taifa na tangu siku hiyo hakuonekana tena uwanjani kutokana na fedheha.  




Check this out on Chirbit

No comments: