BINTI ABAKWA MPAKA KUFA MBELE YA KANISA
Binti mmoja aliyejulikana kwa jina la Mariam mkazi wa Nachingwea mkoani Lindi umemkuta umauti baada ya kubakwa mpaka kufa na vijana waliokuwa akitokanao disco.
Unyama huo umefanya na vijana hao wasiokuwa na chembe ya huruna wala utu na kushindwa kumuogopa hata Mungu kwani walifanya kitendo hicho mbele ya eneo la kanisa.
Marehemu alikumbwa ba umauti huo wakati akitoka disco Nachingwea Resort siku ya ijumaa.
Inasadikika marehemu alikuwa amelewa pamoja na wabakaji hao.
No comments:
Post a Comment