BARABARA ZETU MJINI MTWARA
 |
Dereva Bajaji akiiosha katika ya barabara ya Ligula kuelekea Mangowela Mjini Mtwara mchana huu. |
 |
Shimo kubwa katikati ya barabara lililosababishwa na kupasuka kwa bomba la mamlaka ya mjini safi mjini Mtwara MTUWASA. Bomba hilo lina karibu mwezi mzima likiwa limepasuka bila kufanyiwa ukarabati, huku likiongezeka kila siku na kuhatarisha usalama wa vyombo vya usafiri. |
No comments:
Post a Comment