CHELSEA YATANDIKWA 2-0 NA SWANSEA CAPITAL ONE
Makosa mawili yaliyofanywa na ngome ya Chelsea yameisaidia Swansea ambayo imepata ushindi wa mabao mawili Dhidi ya Chelsea na kuingiza mguu mmoja katika hatua ya nusu fainali ya pili itakayo wiki ijayo na itakuwa na faida ya goli mbili mkononi .
Chelsea ilitawala nusu ya kwanza lakini kosa lililofanywa na Branislav Ivanovic lilimpa nafasi Michu kuifungia timu yake bao la uongozi .
Gerhard Tremmel alikosa goli baada ya kukokolewa vibaya kwa mpira na David Luiz's na baadae Demba Ba aliunganisha klosi lakiini mpira ulikwenda mbali na lango .
Danny Graham alifunga bao la pili mara baada ya Ivanovic kurudisha mpira vibaya na kufunga bao la ushindi .
No comments:
Post a Comment