AZAM YATINGA FAINALI MAPINDUZI CUP
Azam FC imeingia finali ya Mapunduzi Cup kwa mara nyingine, imeitoa Simba kwa penati ya 5-4, dk 120 zilimalizika kwa sare 2-2.
Magoli ya Azam Fc yamefungwa na Jockins Atudo. Hata hivyo katika mchezo huo timu ya Azam FC ilicheza pungufu ya wachezaji wawili Jabir Aziz na Michael Kipre waliotolewa kwa kadi nyekundu.
No comments:
Post a Comment