Sunday, January 27, 2013

PICHA MBALIMBALI ZA MATUKIO YA UHALIFU MKOANI MTWARA

Wananchi wakiondoa magogo barabarani

Masalia ya mahakama ya mwanzo mjini Mtwara
Nyumba ya Mbunge wa Mtwara vijijini Hawa Ghasia
Nyumba ya katibu wa CCM Mkoani Mtwara Mohamedi Sinani

Hali ilivyokuwa huko Masasi jengo la kilimo kwanza likiteketea

Magari yaliyochomwa moto huko wilayani Masasi
Nyumba ya Mbunge wa msasi Marry Kasembe

No comments: