Wednesday, January 23, 2013

AFRIKA KUSINI IMEILAZA ANGOLA 2-0

Wachezaji wa Afrika ya kusini wakishangilia bao

Mechi ya pili ya kundi A ya michuano ya kuwania kombe la mataifa ya Afrika inaendelea nchini Afrika Kusini, kati ya Bafana Bafana na imekamilika huku Afrika Kusini ikililaza Angola kwa magoli 2-0

Mechi inayofuata ni Morocco dhidi ya Cape Verde

No comments: