CHUO KIKUU DODOMA (UDOM) KUFANYA UCHUNGUZI KWA WANAFUNZI WANAOUZA MIILI YAO
Rais wa Serikali ya Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOSO), Paul Yunge, amebainisha hayo na kusema wanafanya uchunguzi wa kina kuwanasa wanafunzi hao.
Amesema tayari uchunguzi huo umeshaanza na wakati wowote watawabaini wanachuo hao na kuwataja hadharani ili iwe fundisho kwa wengine
Amesema watakaobainika hawatakuwa na msamaria kwani vitendo hivyo vinaishushia hadi chuo ikiwemo na kukidhalilisha chuo na kukishushia heshima
Hatua hiyo imekuja baada ya baadhi ya vyombo vya habari mara kadhaa kuripoti baadhi ya wanachuo chuoni hapo wanajihusisha na biashara hiyo ya ngono.
No comments:
Post a Comment