AFIKISHWA MAHAKAMANI KWA KULAWITI MTOTO WA MWAKA MMOJA
KIJANA Said mkazi wa Vingunguti jana amefikishwa katika Mahakama ya Ilala ya jijini Dar es Salaam akikabiliwa na tuhuma za kulawiti mtoto wa mwaka mmoja.
Akitoa maelelzo ya hati ya mashitaka, Mwendesha Mashitaka Denis Mujumba alidai mtuhumiwa huyo alitenda kosa hilo Novemba 3 mwaka huu huko Vingunguti kwa Simba
Alidai tena mbele ya Hakimu Ester Kalinga kuwa, mtuhumiwa huyo alitenda kosa hilo huku akijua ni kosa kisheria
Alidai mtuhumwia huyo aliweza kuilawiti mtoto mwenye umri wa mwaka mmoja akwia maeneno hayo Mtuhumiwa hakupata dhamana na kesi hiyo itarudi tena baada ya wiki mbili.

Na Asma Ally, Dar
No comments:
Post a Comment