Monday, May 20, 2013

KARIAKOO YA LINDI YAITOA COAST UTD YA MTWARA  LIGI YA MABINGWA WA MIKOA KATIKA UWANJA WA NANGWANDA SIJAONA MJINI MTWARA JUMAPILI KWA MIKWAJU YA PENALTI BAADA YA KUMALIZA MICHEZO YOTE MIWILI KWA KUFUNGANA BAO MOJA KWA MOJA.

Angalia mambo yalivyokuwa, coast wenye blue na kariakoo wenye Orange
Mpambano ukiendelea kwa mashambulizi ya kufa mtu
Mikwaju ya penalti
Mashabiki wakifuatilia mpambano
Steven Ndimbo naye alikuwepo

Shamrashamra kwa mashabiki wa kariakoo ya lindi baada ya mechi kwisha.
Usalama wakiwalinda waamuzi

No comments: