RONALDO AIUA TIMU YAKE YA ZAMANI, APIGILIA BAO LA USHINDI REAL MADRID NA KUELEKEA FAINALI LIGI YA MABINGWA.
![]() |
Mambo yalivyokuwa kabla ya mechi. |
Bao la kujifunga la Sergio Ramosi
Luis Nani azawadiwa kadi Nyekundu
![]() |
Luka Modric akipata bao la kusawazisha |
![]() |
Ronald akishindilia bao la pili |
![]() |
Ronaldo baada ya kupata bao. |
Wenyeji ndio waliokuwa wa kwanza kupata bao mapema kipindi cha pili, baada ya Sergio Ramos kujifunga.
Lakini mambo yaliwageukia Man United, baada ya Luis Nani kuonyeshwa kadi nyekundu ya moja kwa moja kwa kumchezea rafu Alvaro Arbeloa.
Na baada ya hapo, bao la Luka Modric lilifuatiwa na bao la Ronaldo dakika tatu baadaye, hivyo vigogo hao wa Hispania kutinga Robo Fainali ya michuano hiyo.
No comments:
Post a Comment