Friday, March 22, 2013

MWANAFUNZI AKIONA CHA MTEMA KUNI KWA KUMTONGOZA MWALIMU


Na Steven Augustino Tunduru kwa hisani ya Yaliyotukia - WAPO FM Radio

Mwanafunzi mmoja wa kidato cha Nne katika shule ya kutwa ya Sekondari Mataka, wilayani Tunduru huko Ruvuma, Mussa Habibu amenusurika kifo baada ya kupigwa na walimu saba kwa tuhuma za kumtongoza mwalimu wake.
Mtuhumiwa alipohojiwa akiwa hospitalini, alijitetea kuwa si yeye aliyetamka maneno hayo bali ni pacha wake.

Inaelezwa kuwa mwanafunzi na mwalimu huyo walikutana katika nyumba moja walimojihifadhi kukwepa mvua.



Check this out on Chirbit

No comments: