Sunday, February 24, 2013


 AKAMATWA NA KIGANJA CHA MKONO WA BINADAMU MKOANI RUVUMA.

AMA KWELI DUNIA NDIVYO ILIVYO.
Mtuhumiwa aliye kamatwa na kiganja cha Binadamu Denes Fransis Kafinje akihojiwa na Jeshila Polisi

Mkoani Ruvuma.

Hiki ndicho kiganja alichokutwa nacho Denes Fransis Kafinje


Mtu mmoja aliyejulikana kwa jina la Denes Fransis Kafinje mkazi wa Lizaboni Songea amekamatwa na jeshi la polisi mkoani Ruvuma kwa kukutwa na kiganja cha mkono wa binadamu akiwa amekihifadhi kwenye boksi.

Tarifa zilizo tolewa na RPC Mkoa wa Ruvuma  Desdedit Nsimike zinasema kwamba kuwa hadi sasa  hazijaripotiwa mkoani humo tarifa za mtu kukatwa kiganja, huenda kimetoka mkoa mwingine.
 Uchunguzi wa kipolisi bado unaendelea juu ya mtuhumiwa huyo.

Chanzo: songeahabari.blogspot.com

No comments: