Thursday, February 14, 2013

MAN UNITED YATOKA SARE YA 1-1 NA REAL MADRID, LIGI YA MABINGWA

Danny Welbeck akifunga bao

Ronaldo akifunga bao
Ferguson akikumbatiana na Ronaldo na Mourinho  mwishoni mwa mchezo

MANCHESTER United imelazimihsa sare ya 1-1 na Real Madrid katika mchezo wa kwanza, hatua ya 16 Bora Ligi ya Mabingwa Ulaya jana usiku Uwanja wa Bernabeu, Madrid.

Danny Welbeck alitangulia kuifungia United dakika ya 20 na Cristiano Ronaldo akaisawazishia Real dakika ya 30

No comments: