Tuesday, February 26, 2013

HIVI UBAGUZI WA RANGI MICHEZONI UTAISHA LINI?


MSHAMBULIAJI Mario Balotelli aifanyiwa hila za kibaguzi na mashabiki wa Inter Milan wakati alipokabiliana na klabu yake hiyo zamani kwa kuonyeshwa ndizi.


Mashabiki fulani wa Inter waliinua ndizi kumuonyesha mshambuliaji huyo wa AC Milan katika mechi hiyo. Licha ya kejeli hizo za kibaguzi, Balotelli alikuwa mtulivu na kuendelea kucheza na kuwajibu kwa kuweka kidole mdomoni mwake.

No comments: