BINTI WA MIAKA 13 AFANYIWA KITCHEN PARTY DAR
![]() |
Akina mama walikokuwa katika sherehe hiyo wakitahamaki baada ya kachero wa polisi kujitambulisha |
![]() |
Binti huyo (kushoto) akiwa chini ya ulinzi wa polisi akitolewa ndani na kuingizwa kwenye gari |
![]() |
akiingizwa kwenye gari ambapo alipelekwa Kituo cha Polisi, Stakishari kwa mahojiano zaidi
|
Tukio hilo la kusikitisha na kuhuzunisha limetokea Jumatano ya wiki iliyopita ambapo mtandao huu ulikuta Rafia akiwa katika sherehe hizo huku ndoa yake ikitarajiwa kufungwa leo Februari.
Source: globalpublishers.
No comments:
Post a Comment