AFCON BUKINA FASO YAANDIKA HISTORIA YAINGIA FAINALI KWA MARA YA KWANZA KWA KUWATOA GHANA KWA PENALTI 3-2
GHANA 1 VS 1 BUKINA FASO
(assist by C. Kaboré)
DK 120 zimemalizika kwa 1-1ikafuata mikwaju ya penalti.
Bukina faso wamepata menalti 3-2 Ghana
Fainali ni Nigeria vs Bukina faso siku ya jumapili
Ghana watakutana na Mali siku ya jumamosi kutafuta mshindi wa tatu.
Bukina faso wamepata menalti 3-2 Ghana
Fainali ni Nigeria vs Bukina faso siku ya jumapili
Ghana watakutana na Mali siku ya jumamosi kutafuta mshindi wa tatu.
No comments:
Post a Comment