PEP GUARDIOLA ATUA BAYERN MUNICH KUANZA KAZI MSIMU UJAO
Klabu ya Ujerumani ya Bayern Munich imetangaza kuwa Mkufunzi wa zamani wa Barcelona Pep Guardiola ataichukua timu hiyo mwishoni mwa msimu.
Kijana huyo mwenye miaka 41 alikuwa akihusishwa na kujiunga na Chelsea na Manchester City - ametia saini kandarasi ya miaka mitatu mpaka 2016.
Guardiola atakuwa anaziba nafasi ya Jupp Heynckes,ambaye anastafu mwishoni mwa msimu
Bayern kwa sasa wako juu kwa Alama tisa zaidi wakiongoza ligi na wanatarajia kukutana na Arsenal mwezi ujao katika hatua ya kumi na sita bora ya ligi ya mabingwa .
Heynckes, 67, aliimbia klabu hiyo kabla ya Christmas kuwa Hata ongeza kandarasi baada ya majira ya kiangazi .
Mkurugenzi mkuu wa Bayern' Uli Hoeness Amesema kuwa : "Tunahijati Mkufunzi wa aina ya Guardiola' ndiye anayeweza kuichukua nafasi ya Jupp Heynckes.
No comments:
Post a Comment