NIGERIA YAWAJAZA MAPESA WACHEZAJI
WA SUPER EAGLES.
![]() |
Kocha wa Nigeria Steven Keshi |
Nigeria iliigaragaza Ethiopia kwa mabao 2-0 na kufanikiwa kusonga mbele pamoja na Burkina Faso katika Kundi na kuziacha Ethiopia pamoja na mabingwa watetezi wa michuano hiyo kuyaaga mashindano hayo.
Nigeria imeshiriki Afcon mara 17 na kufanikiwa kuvuka hatua ya makundi mara 15 na sasa nchi hiyo itakwaana na Ivory Coast timu ambayo inapewa nafasi kubwa ya kunyakuwa taji la michuano hiyo.
Pamoja na Ivory Coast kupewa nafasi kubwa lakini kocha Nigeria Steven Keshi amesema ameandaa mbinu madhubuti ya kupambana na wapinzani wao ili kuhakikisha wanasonga mbele kwenye michuano hiyo.
No comments:
Post a Comment