Hawa ni Mke na Mume, Unafikiri kwanini mahusiano mengi ya kimapenzi yakiharibika yanageuka kuwa uadui mkubwa sana? swali la mdau siri yako.
Ndugu yangu siriyako kuna usemi usemao "there is no good way of saying goodbye" nikiwa na maana "hakuna njia nzuri ya kuachana" ndiyo hulka ya binadamu hiyo, thamani ya binadamu ipo pale anapokufanyia mambo mazuri, lakini akifanya kinyume chake hafai, ndivyo wengi wanavyofikiri na kuamini, lakini ni ufinyu wa uelewa kuhusu hali halisi ya maisha, na katika mapenzi mambo yapo hivyo kaka yangu.
No comments:
Post a Comment