Thursday, December 27, 2012

CHEKA AMSAMBARATISHA MMALAWI



Na taarifa tulizopata kutoka Arusha Bondia wa Tanzania FRANCIS CHEKA amefanikiwa kumchapa CHIMWEMWE CHIOTCHA wa MALAWI.

Kutokana na matokeo hayo bondia FRANCIS CHEKA amefanikiwa kutetea
ubingwa wake wa IBF AFRIKA kwa kumchakaza CHIMWEMWE kwa pointi 120
kwa 115 za CHIMWEMWE katika pambano lilofanyika katika uwanja wa SHEKH

AMRI ABED jijini ARUSHA

No comments: