Monday, December 31, 2012

 
 
Demba Ba Ambaye thamani yake ni pauni  £7m ameweka wazi kuwa kesho jumanne ndipo kandarsi yake itakuwa huru kuanza mazungumzo na timu nyingine  .

Mchezaji huyu wa zamanai wa  West Ham ameonyesha uwezo wa kuvutia msimu huu baada ya kufunga mabao kumi na tatu .
Ameripotiwa kutaka kujiunga na vilabu vya  Arsenal, Tottenham, QPR na  Paris Saint Germain.

Ileweke kuwa wawakilishi wa Ba walikutana na  Chelsea jumapili jioni na hatarajii kujiunga na timu hiyo  yenye maskani yake huko Stamford Bridge.

Akiongea baada ya ushindi wa mabao mawili kwa moja  2-1 dhidi  Everton , Rafa Benitez alikataa kuthibitisha kuwa anampango wa kumnunua Ba ,Akisema  : "Hatuzungumziii swala hilo ,Tuna mechi muhimu hapa Leo ."

Wawakilishi wa Ba's wanatarajiwa kuzungumza na vilabu vingine huku bosi wa  Newcastle  Alan Pardew akijaribu kufanya linalowezekana kumbakisha mchezaji huyo

No comments: