UBATIZO WA KEREN LEO SIKUKU YA X-MASS, ATIMIZA MIEZI SABA
Mtoto Keren akiwa na mama yake Kanisani |
Wakisubiri ubatizo |
Amebebwa na Msimamizi wake Mrs Mbungu akijiandaa kumwagiwa maji ya ubatizo |
Mtoto kereni akibatizwa |
Akipakwa mafuta na Padre Chikuyu wa Parokia ya watakatifu Petro na Paulo shangani magharibi Mtwara |
Baba paroko Chikuyu akiwa kazini |
Akiwa na mama pamoja na msimamizi |
Mikononi mwa baba mzazi |
Waumini wakiwa katika sala |
Baba Keren |
No comments:
Post a Comment